Mwenyekiti wa chama cha wananchi CUF Professa Ibraim Lipumba
akiongea na waandishi wa habari leo katika makao makuu ya chama hicho
yaliyoko Buguruni jijini Dar es Salaam juu ya kulaani vikali vurugu
zilizotokea katika wilaya ya Tandahimba iliyopelekea kuchomwa moto baadhi ya
vibanda vya wafanyabihashara ambao ni wanachama wa chama hicho
waliojitokeza kuzima moto uliokuwa unaunguza ofisi ya kamanda wa
polisi wilayani humo.
Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano huo wakiwa makini kumsikiliza profesa Lipumba.
(Kwa hisani ya FullShangwe)
No comments:
Post a Comment