Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
baadhi ya wanasanii kutoka katika Chuo Cha mafunzo ya Polisi, Moshi wakati wa
hafla ya sherehe za miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyofanyika
katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
baadhi ya wanasanii kutoka katika kikundi cha JKT Oljoro, Arusha wakati wa hafla
ya sherehe za miaka 48 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar iliyofanyika katika
viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam jana jioni.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia Katibu
mkuu kiongozi mstaafu Mzee Timothy Apiyo wakati wa hafla ya sherehe za miaka 48
ya Muungano iliyofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam jana
jioni.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na
Monsinyori Julian Kangalawe wakati wa halfa ya muungano ikulu jana
jioni
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na mmoja wa Wazee waliohudhuria hafla ya
sherehe za Muungano iliyofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam
jana jioni(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment