Mmoja kati ya wakazi wa Kasisi muda mfupi mara baada ya kupokea Chandarua katika maadhimisho hayo zilizotolewa na Mradi wa vijiji vya Milenia Mbola ikiwa ni mkakati wa kupambana na Malaria eneo la vijiji hivyo.
Afisa Tarafa Ilolangulu Bw.Mfaume Hamisi akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kasisi wakati wa maadhimisho ya siku ya Malaria Duniani.
Wanafunzi wa Shule ya msingi Kasisi wakicheza ngoma katika maadhimisho ya siku ya Malaria Duniani,sherehe iliyofanyika katika kijiji cha Kasisi eneo la vijiji vya Milenia Mbola.
Mradi wa vijiji vya Milenia Mbola umefanya maadhimisho ya siku ya Malaria duniani katika kijiji cha Kasisi ambapo katika maadhimisho hayo mbali na ugawaji wa vyandarua kwa wakazi wa vijiji hivyo na maeneo jirani pia Mradi uliendesha zoezi la upimaji wa hiari wa vijidudu vya Malari kwa watu waliohudhuria maadhimisho hayo.

No comments:
Post a Comment