Umati mkubwa wa watu ambao haujapata kutokea bila kujali Jua kali sana lililotanda eneo la kinondoni kwa wakati huu lakini shughuli ya mazishi inaonekana kuendelea kama ilivyopangwa.
Kuna wapo
waliokaa vivulini, Kuna waliopanda juu ya miti, waliopanda kwenye kuta mbalimbali ili mradi wapate kushiriki mazishi kwa kadri wawezavyo.
Hapa kaburini hakuna hata pakakupitisha pikipiki kiurahisi, kama sio
kuishia kupigwa mawe na waombolezaji.
Bado tunaendelea kuwaletea habari picha kutoka eneo la tukio kwa kadri tuwezavyo.
No comments:
Post a Comment