Kushoto ni Mtangazaji wa Ruvuma TV Nancy Mbogoro akimuuliza swali Mpenda Mvula ambaye ni mtoto wa marehemu Abrose Mvula aliyekuwa mmiliki wa bendi ya Super Matimila.
..................................
Mtoto wa Mzee Abrose Mvula ambaye ndiye alikuwa mmiliki wa bendi ya Super Matimila aelezea chimbuko la bendi hiyo , Historia ya bendi,kwa nini iliitwa matimila,ilikuwaje mzee wake akaanzisha bendi hiyo pamoja na historia ya Remmy Ongala akiwa na bendi ya Matimila na mikakati iliyopo juu ya bandi hiyo kwa sasa.
No comments:
Post a Comment