Mkimbizi kutoka Burundi, Philipo Nyandungulu, akishuka kutoka kwenye basi baada ya kuwasili katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko Kasulu mkoani Kigoma. Idadi ya wakimbizi kutoka Burundi imekuwa ikiongezeka siku hadi siku na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHRC) imekuwa ikiwahifadhi kwa muda katika kambi hiyo.
Wednesday, September 16, 2015
WAKIMBIZI KUTOKA BURUNDI WAENDELEA KUWASILI KATIKA KAMBI YA NYARUGUSU MKOANI KIGOMA
Mkimbizi kutoka Burundi, Philipo Nyandungulu, akishuka kutoka kwenye basi baada ya kuwasili katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyoko Kasulu mkoani Kigoma. Idadi ya wakimbizi kutoka Burundi imekuwa ikiongezeka siku hadi siku na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kwa kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHRC) imekuwa ikiwahifadhi kwa muda katika kambi hiyo.

No comments:
Post a Comment