Afisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile pamoja
na Meneja wa Kanda ya ziwa wa PPF Bwana Meshach Bandawe wakifuatilia mkutano na waandishi wa habari uliofanyika mapema leo katika ukumbi wa Gold Crest kuwahabarisha kuhusu kampeni ya Mwanamke ya Uchumi itakayofanyika jijini Mwanza tarehe 4-5 Septemba, 2014 katika viwanja vya Mwaloni Kirumba Jijini Mwanza.
(Na Mpiga Picha Wetu)

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment, Naima Malima akizungumza
na na waandishi wa habari kuhusu Kampeni ya Mwanamke na Akiba inayotarajiwa
kufanyika Mkoani Mwanza kuanzia Septemba 4-5, ambapo zaidi ya wanawake wajasiriamali 600 wanatarajiwa kufaidika na mafunzo hayo.

Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Angels Moment, Naima Malima akizungumzana na
waandishi wa habari kuhusu Kampeni ya Mwanamke na Akiba
inayotarajiwakufanyika Mkoani Mwanza kuanzia Septemba 4-5, ambapo zaidi
ya wanawake wajasiriamali600 wanatarajiwa kufaidika na mafunzo hayo.
Afisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile akielezea jukumu la TBS katika kuwaelimisha wanawake wajasiriamali wa Kitanzania
watakaoshiriki katika kampeni ya Mwanamke na Uchumi juu ya ubora na
viwango katika bidhaa wanazoandaa.
Afisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile akielezea jukumu la TBS katika kuwaelimisha wanawake wajasiriamali wa Kitanzania watakaoshiriki katika kampeni ya Mwanamke na Uchumi juu ya ubora na viwango katika bidhaa wanazoandaa.

No comments:
Post a Comment