![]() |
| Baadhi ya maaskofu wakimwekea wakfu Mchungaji Peter Shani wa Kanisa la FPCT Kiloleni wakati wa uzinduzi huo wa kanisa,ambapo ibada hiyo iliongozwa na Makamu Askofu mkuu Wilson Lazaro. |
![]() |
| Mchungaji Shani akipokea Biblia ikiwa ni nyenzo maalumu za kufanyia kazi baada ya kukabidhiwa madaraka ya uchungaji wa kanisa la FPCT Kiloleni Tabora mjini. |
![]() |
| Mchungaji kiongozi wa makanisa ya FPCT mkoa wa Tabora Elias Shija akisoma taarifa fupi ya kanisa la FPCT mkoa wa Tabora wakati wa uzinduzi wa kanisa la FPCT Kiloleni. |
![]() |
| Mchungaji Shani akiwa na familia yake wakati wa uzinduzi wa kanisa hilo |
![]() |
| Makamu askofu mkuu wa FPCT Wilson Lazaro akiweka jiwe la msingi kama ishara ya uzinduzi wa kanisa la FPCT Kiloleni |
![]() |
| Kwaya ya kanisa la EAGT Kitete |
![]() |
| Kwaya ya Sayuni FPCT |
![]() |
| Umati mkubwa wa waumini wa dini ya kikristo ulihudhuria katika uzinduzi huo |











No comments:
Post a Comment