Pages

KAPIPI TV

Tuesday, August 26, 2014

HIVI NDIVYO SALIM ASAS ALIVYOAPISHWA KUWA KAMANDA WA UVCCM MKOA WA IRINGA

Naibu Katibu Mkuu CCM Tanzania Bara, Mwigulu Nchemba akimuapisha Salim Asas kuwa Kamanda wa UVCCM Mkoa wa Iringa, Salim Asas jana
Alipokuwa akimvalisha gwanda la ukamanda
Katikati ya wazee wa kimila baaada ya kuapishwa
Dokii na kundi lake walitoa burudani
Akafuata baba level
Na Wanne Star alikuwepo
Makomandoo
Na wasanii wa Iringa walikuwepo
Chipukizi nao walifanya vitu vyao
Meza kuu ilikuwa na waalikwa mbalimbali
Vijana Jazz wakaendelea kusherehesha sherehe hizo Na Francis GodwinBlog

No comments: