Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
DK.ALi Mohamed Shein na Balozi wa Korea Nchini Tanzania Bw.IL Chung
(katikati) wakiangalia embe zilizokaushwa zikiwa katika Mpango maalum wa
kuhifadhiwa wakati alipotembelea kituo cha kukausha Embe Dodo katika
Kijiji cha Cheju kibonde maji leo kilichojengwa na Shirika la misaada
la Koika nchini Korea kupitia Mradi wa SAEMAUL UDONG .[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]


No comments:
Post a Comment