Pages

KAPIPI TV

Thursday, May 1, 2014

POLISI TABORA WAUAGA KWA MAJONZI MWILI WA ASKARI ALIYEUAWA KWA KUPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Suzan Kaganda akitoa heshima za mwisho wakati kuuaga mwili wa askari Polisi aliyeuawa kwa kupigwa risasi na majambazi PC JUMANNE huko tarafa ya Ussoke wilayani Urambo ambapo askari wawili walipoteza maisha wakati wakijiandaa kukabiliana na majambazi matatu yaliyokuwa na silaha aina ya SMG baada ya kuvamia duka la mfanyabiashara na kupora zaidi ya shilingi milioni moja na laki mbili.
Shughuli ya kuuaga mwili wa askari PC JUMANNE ilifanyika katika ukumbi la Polisi Tabora mjini
Mchungaji wa kanisa la Adventist akiendesha Misa  maalumu kwa ajili ya kuuaga mwili wa PC JUMANNE
SIMANZI,MAJONZI NA VILIO vilitawala wakati wa kuuaga mwili wa askari PC JUMANNE


Mwili ukipandishwa kwenye gari kwa ajili ya safari ya kuelekea nyumbani kwao marehemu PC JUMANNE Musoma vijijini






No comments: