Waziri mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli Bw.Edward Lowassa akihutubia wananchi nje ya ofisi za Chama cha Waendesha Bodaboda mjini Tabora ambapo pamoja na mambo mengine alisaidia Pikipiki tatu kwa Chama hicho kama hatua ya kwanza ya kuwawezesha na kuwainua kiuchumi wananchama wa Chama hicho. |
No comments:
Post a Comment