Waziri wa Afrika Mashariki Bw.Samwel Sitta akizungumza wakati wa kikao cha baraza la Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM mkoa wa Tabora,ambapo aliwataka vijana kuwa wazalendo kwa kuipenda nchi yao kwa kuonesha msimamo wao wa kutowakubali watu wanaotaka madaraka kwa kutumia fedha walizonazo. |
No comments:
Post a Comment