Maafisa kutoka Kituo cha Sheria na haki za binadamu nchini LHRC wametembelea kujionea hali halisi ya mgogoro huo ambao sasa umeathiri hata huduma za kijamii katika kijiji cha Bweru ambapo mbali ya kuvunjwa kwa jumla ya kaya 68 katika oparesheni ya kuwahamisha wakazi wa kijiji hicho iliyofanywa na Halmashauri ya wilaya ya Kigoma,Shule moja ya msingi ilichomwa moto na kusababisha jumla ya wanafunzi 120 kuachishwa masomo yao,Kutoka kulia ni Afisa wa dawati la ufuatiliaji wa ukiukwaji wa haki za binadamu LHRC Bw.Mkuta Masoli. |
No comments:
Post a Comment