Pages

KAPIPI TV

Tuesday, September 4, 2012

TABORA WAZINDUA PROGRAMU YA TABASAM

 Katika uzinduzi wa programu ya afya ya uzazi Tabora iliyoitwa kwa jina la TABASAM,Mkuu wa mkoa wa Tabora Fatma Mwassa akipeana mkono na mmoja kati ya wadau ambao wanatekeleza programu hiyo.
 Mkuu wa mkoa wa Tabora Fatma Mwassa akipeana mikono na baadhi ya wadau katika Uzinduzi wa Programu hiyo iliyozinduliwa katika viwanja vya jumba la kumbukumbu ya Mwl.Nyerere au Community Center mjini Tabora.

 Naibu Meya wa Manispaa ya Tabora Waziri Mlenda akitoa neno la shukrani katika Uzinduzi wa TABASAM.

 Kutoka kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Tabora Idd Ally Ame akiwa jirani na Katibu tawala mkoa wa Tabora Kudra Mwinyimvua.
Kwaya ya JKT Tabora ambayo ilikuwa mstari wa mbele katika kutoa burudani mbalimbali

No comments: