Pages

KAPIPI TV

Sunday, July 1, 2012

MCHUNGAJI ACHOMA MOTO VITU VYA KISHIRIKINA KANISANI"Ni Mchungaji Elias Mbagatta wa Kanisa la Injili Afrika Tabora mjini"

 Mchungaji Elias Mbagatta wa kanisa la Injili Afrika lililopo manispaa ya Tabora akiwa na waumini wa kanisa hilo wakati wakiteketeza kwa moto vifaa vinavyodaiwa kuwa vya kishirikina vilivyotolewa nyumbani kwa muumini mmoja ambaye jina lake halikutajwa.

 Mchungaji Mbagatta akifanya mahubiri kanisani na kuonesha vifaa hivyo vya kishirikina

Baadhi ya vifaa hivyo vya kishirikina vikioneshwa kanisani na baadaye kuchomwa moto hadharani

No comments: