Pages

KAPIPI TV

Friday, July 20, 2012

MAUAJI YA KINYAMA USUNGA, MTOTO AUAWA NA KUBANIKWA

MAUAJI YA KINYAMA USUNGA, MTOTO AUAWA NA...
Nassor Wazambi11:35pm Jul 19
MAUAJI YA KINYAMA USUNGA,
MTOTO AUAWA NA KUBANIKWA KAMA MBUZI!

Mtoto wa miaka minne Fanuel Enock alipotea na baadae kupatikana akiwa amekufa mwili wake ukiwa umekaushwa huku ukiwa hauna mikono na miguu!
 
Tukio hilo la kusikitisha ambalo limetokea kijiji cha usunga wilaya ya Sikonge,
baada ya mwili kupatikana, wananchi wenye hasira kali walijichukulia sheria mkononi na kuchoma moto nyumba za familia saba za wanao daiwa kuhusika kufanya tukio hilo linalo hisiwa limetokana na imani za kishirikina eti  kupata utajiri kwa njia ya giza!

No comments: