Pages

KAPIPI TV

Friday, June 8, 2012

WAANDISHI WA HABARI TABORA WAPATA MAFUNZO KUHUSU AFYA

Baadhi ya waandishi wa Chama cha waandishi wa habari wa mkoani Tabora katika picha ya pamoja na baadhi ya wadau mbalimbali wa sekta ya Afya,mkufunzi wa mafunzo hayo ya afya na afisa mmoja kutoka Muungano wa vyama vya waandishi wa habari nchini UTPC.
 Kutoka kushoto ni Bi.Jenny Mazimba Afisa Ustawi wa jamii na mratibu wa Ukimwi mkoa wa Tabora,Mwandishi wa habari na Wakili wa kujitegemea Bw.Lucas Ndanga,Dr.Zubeda Afisa Afya na mratibu wa Afya mkoa wa Tabora,Dr.Ahmed Twaha mkufunzi katika mafunzo hayo ya uandishi wa habari za Afya na anayefuata ni Bi.Hilda Kileo Afisa kutoka UTPC.
Picha ya pamoja mara baada ya mafunzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Moravian mjini Tabora ambapo mafunzo hayo yanafadhiliwa na SIDA kwa uratibu wa UTPC.

No comments: