Pages

KAPIPI TV

Monday, June 11, 2012

VIWANJA VYA KARIMJEE JIJINI DAR-ES-SALAAM WAKATI WA KUUAGA MWILI WA MUASISI WA CHADEMA BOB MAKANI

Rais Jakaya Kikwete,Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema Bw.Freeman Mbowe na makamu wa Rais Dk.Bilali katika Shughuli rasmi ya kuuaga mwili wa muasisi wa Chadema Marehemu Bob Makani,viwanja vya Karimjee jijini Dar-es-salaam.
Jeneza lililobeba mwili wa Bob Makani wakati likiletwa kwa ajili ya shughuli ya kuagwa
Rais Kikwete akiwa miongoni mwa watu walioshiriki kubeba jeneza wakati wa kuagwa





No comments: