Pages

KAPIPI TV

Saturday, June 2, 2012

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AKUTANA NA UJUMBE WA MAREKANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Seneta wa Marekani ChristopherCoons,akiwa na Ujumbe aliofuatana nao  walipofika Ikulu Mjini Zanzibarleo,kuzungumza na Rais.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Seneta wa Marekani ChristopherCoons,akiwa na Ujumbe aliofuatana nao  walipofika Ikulu Mjini Zanzibar
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Seneta wa Marekani ChristopherCoons,akiwa na Ujumbe aliofuatana nao  walipofika Ikulu Mjini Zanzibarleo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments: