Pages

KAPIPI TV

Saturday, June 23, 2012

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI DR.TIZEBA ATEMBELEA KITUO CHA RELI YA KATI TABORA

 Naibu Waziri wa Uchukuzi Dr.Charles Tizeba akizungumza na wafanyakazi wa Shirika la Reli TRL Kituo cha Tabora
 Naibu waziri wa Uchukuzi Dr.Tizeba wakati alipotembelea Kituo cha Reli ya kati Tabora,kushoto ni mkuu wa mkoa wa Tabora Bw.Suleiman Kumchaya,kulia ni mmoja wa maafisa wa TRL . 
 Naibu Waziri Dr.Tizeba akizungumza na mmoja wa wasafiri katika kituo cha Reli ya kati Tabora,ambapo msafiri huyo alimweleza Dr.Tizeba adha wanazozipata wasafiri hao ikiwa ni pamoja na usumbufu wa upatikanaji wa tiketi.
Baadhi ya wasafiri katika kituo cha Reli ya kati Tabora wakiwa wanasubiri usafiri pasipo kuwa na taarifa inayoelekeza ni muda gani wa kuanza safari yao jambo ambalo limekuwa ni kero kubwa kwa wasafiri hao. 
 Naibu waziri Dr.Tizeba akisisitiza jambo kwa maafisa wa Shirika la Reli Tabora TRL wakati alipotembelea Karakana ya reli Tabora.

No comments: