Pages

KAPIPI TV

Tuesday, June 5, 2012

MBUNGE WA BAHI OMARY BADWEL ATINGA KIZIMBANI MAHAKAMA YA KISUTU

Mbunge wa Jimbo la Bahi, Omary Badwel (CCM), akisindikizwa na askari polisi kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo, baada ya kusomewawa mashitaka akituhumiwa kushawishi na kupokea rushwa ya sh. milioni 1. Kesi hiyo imehairishwa hadi juni 18 mwaka huu. 
Mbunge wa Jimbo la Bahi, Omary Badwel (CCM), akisindikizwa na askari polisi kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam leo.

No comments: