Pages

KAPIPI TV

Saturday, June 30, 2012

MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA SIKONGE WATEMBELEA MRADI WA VIJIJI VYA MILENIA MBOLA

 Madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Sikonge walipotembelea kisima cha maji katika kijiji cha Mbola

 Kaimu Mratibu  wa Afya  Mradi wa Vijiji vya Milenia Mbola, Mwarami Selemani akitoa maelezo kwa madiwani wa halmashauri ya Sikonge kuhusu hatua iliyofikiwa na mradi katika masuala ya Afya.

 Baadhi ya madiwani na kaimu mkurugenzi wa halmashauri ya Sikonge wakati walipotembelea mradi huo.

Madiwani wa halmashauri ya Sikonge wakiandika maelezo yanayotolewa na mtaalamu wa Afya katika Zahanati ya Mbola.

No comments: