Pages

KAPIPI TV

Monday, May 28, 2012

MAKAMU WA RAIS DK.BILAL AKUTANA NA BALOZI WA IRAN IKULU JIJINI DAR-ES-SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkaribisha Balozi wa Iran nchini Tanzania, Mohsen Movahhed Ghomi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Mei 28, 2012 kwa mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Iran Nchini Tanzania,  Mohsen Movahhed Ghomi, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Mei 28, 2012 kwa mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments: