Mwenyekiti
wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi Nchi za Mashariki mwa Africa ambaye pia ni
Inspekta Jenerali wa Polisi wa Rwanda, Emmanuel Gasana (kushoto)
akiongozwa leo katika Makao makuu ya Jeshi la Polisi Tanzania na
Kamishna wa Operesheni,
Paul Chagonja aliopo nchini katika ziara ya kufuatilia utekelezaji wa
maazimio
ya mkutano wa kumi na tatu wa wakuu wa Majeshi ya Polisi wa EAPCCO,
mkutano
uliofanyika nchini Rwanda mwezi septemba 2011. Ziara hii ni pamoja na
kuimarisha ushirikiano baina ya Majeshi ya nchi za mashariki mwa Afrika.
Picha
Na Hassan Mndeme wa Jeshi la Polisi.
Mwenyekiti
wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi Nchi za Mashariki mwa Africa ambaye pia ni
Inspekta Jenerali wa Polisi Rwanda, Emmanuel Gasana (kushoto) akisaini kitabu
cha wageni katika ofisi za wizara ya Mambo ya Ndani leo jijini Dar es Salaam aliopo
nchini katika ziara ya kufuatilia utekelezaji wa maazimio ya mkutano wa kumi na
tatu wa wakuu wa Majeshi ya Polisi wa EAPCCO, mkutano uliofanyika nchini Rwanda
mwezi septemba 2011. Ziara hii ni pamoja na kuimarisha ushirikiano baina ya
Majeshi ya nchi za mashariki mwa Afrika. Kulia ni Kamishna wa Operesheni, Paul
Chagonja Picha Na Hassan Mndeme wa Jeshi
la Polisi.
Mwenyekiti
wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi Nchi za Mashariki mwa Africa ambaye pia ni
Inspekta Jenerali wa Polisi Rwanda,
Emmanuel Gasana (kushoto) akionyeshwa mazingira ya Makao Makuu ya Jeshi la
Polisi Tanzania na Kamishna
wa Operesheni, Paul Chagonja leo jijini Dar
es Salaam. IGP wa Rwanda
yupo katika ziara ya kufuatilia utekelezaji wa maazimio ya mkutano wa kumi na
tatu wa wakuu wa Majeshi ya Polisi wa EAPCCO, mkutano uliofanyika nchini Rwanda
mwezi septemba 2011. Ziara hii ni pamoja na kuimarisha ushirikiano baina ya
Majeshi ya nchi za mashariki mwa Afrika. Picha Na Hassan Mndeme wa Jeshi la
Polisi.
Mwenyekiti
wa Wakuu wa Majeshi ya Polisi Nchi za Mashariki mwa Africa ambaye pia ni
Inspekta Jenerali wa Polisi Rwanda,
Emmanuel Gasana (kulia) akizungumza na maofisa wakuu wa Jeshi la Polisi
Tanzania leo jijini Dar es Salaam. IGP wa Rwanda yupo katika
ziara ya kufuatilia utekelezaji wa maazimio ya mkutano wa kumi na tatu
wa wakuu
wa Majeshi ya Polisi wa EAPCCO, mkutano uliofanyika nchini Rwanda mwezi
septemba 2011. Ziara hii ni pamoja na kuimarisha ushirikiano baina ya
Majeshi
ya nchi za mashariki mwa Afrika. Picha Na Hassan Mndeme wa Jeshi la

Habari hii kwa hisani ya FULLSHANGWE
No comments:
Post a Comment