Lango kuu la Zuu ya Wanyamapori Tabora mjini ambapo kwa miaka iliyopita ilikuwa ni Sehemu ambayo wakazi wa Tabora na wageni kwa ujumla walikuwa wakitembelea kufanya utalii wa kuangalia wanyama na hivyo kuingiza pato la Serikali kupitia Utalii wa ndani,Zuu hii ilikuwa inamilikiwa na Serikali kupitia Idara ya Maliasili halmashauri ya mji wa Tabora.Kwasasa eneo hilo wananchi waliowengi wamekuwa wakishangaa kwanini halirejeshwi ili watu wapate maeneo ya kujifurahisha hasa kwa Utalii wa ndani. |
No comments:
Post a Comment
MAONI YAKO HAPA