Pages

KAPIPI TV

Sunday, May 24, 2015

JK AONGOZA KIKAO CHA NEC LEO TENA

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akishauriana jambo na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kabla ya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM kuanza leo, mjini Dodoma Nkoromo)
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM, mjini Dodoma leo, May 24, 2015. Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein, na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. (Picha na Bashir Nkoromo)
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, wakiwa kwenye kikao hicho. mstari wa mbele kutoka kushoto ni, Dk. Salim Ahmed Salim, Shamsi Vuai Nahodha na Katibu Mkuu wa CCM, mstaafu, Wilson Mukama
Wajumbe wakiwa kwenye kikao hicho. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Mwigulu Nchemba na Spika wa Bunge Anna Makinda.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM,  Bernard Membe na Nazir Kalamagi wakijadiliana jambo kabla ya kikao cha NEC kuanza.
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM, Usi Yahya Haji kutoka Kaskazini Unguja, akimsalimia mjumbe mwenzake, Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu wakati wakijiandaa kuingia ukumbini kwenye Kikao cha NEC mjini Dodma leo.
Katibu Mkuu wa UVCCM, Sixtus Mapunda akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Hamis Sadifa, kabla ya kikao kuanza. Kulia ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Wajumbe wakiwa ukumbini wakati wa mkutano huo









No comments: