Mgeni Rasmi katika hafla ya
Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund,
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ndg. Ramadhan Madabida akitoa
hotuba yake kabla ya kuanza kuendesha harambee hiyo,iliyofanyika
mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.Zaidi ya
sh. Milioni 100 zilipatikana katika harambee hiyo.
Mwenyekiti Mwanzilishi wa
Bonnah Education Trust Fund, Bonnah Kaluwa akitoa hotuba yake kwa wageni
wa mbali mbali (hawapo pichani) waliohudhulia hafla ya Chakula cha
jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund,iliyofanyika
mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam.Zaidi ya
sh. Milioni 100 zilipatikana katika harambee hiyo.(Picha zote na Othman
Michuzi).
Katibu
wa Bonnah Education Trust Fund, Mary Muwasa akizungumza machache ikiwa
ni pamoja kuwatambulisha wadhamini mbali mbali waliojitolea ili
kufanikisha harambee hiyo,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli
ya Serena Jijini Dar es Salaam.
Mgeni
Rasmi katika hafla ya Chakula cha jioni cha kuchangia Mfuko wa Bonnah
Education Trust Fund,Mwenyekiti wa CCM Mkoawa Dar es Salaam,Ndg.
Ramadhan Madabida (kushoto) akipokea mfano wa hundi ya Dola za Marekani
Elfu 8 kutoka kwa Mwenyekiti wa GCUT Group Tanzania,Lucy Jeremiar
Gilya.Katikati ni Mwenyekiti Mwanzilishi wa Bonnah Education Trust
Fund,Bonnah Kaluwa.
Mgeni Rasmi katika
hafla hiyo,Ndg.Ramadhan Madabida akipokea mfano wa hundi ya Dola za
Marekani Elfu 15 kutoka kwa Meneja wa Miles Networks International
nchini Tanzania,Diana Paul (kulia).Katikati ni Mwenyekiti Mwanzilishi wa
Bonnah Education Trust Fund,Bonnah Kaluwa.
Mgeni Rasmi katika
hafla hiyo,Ndg. Ramadhan Madabida akipokea mfano wa hundi ya Sh. Mil.
4.4 kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Masoko wa Kampuni ya Resolution
Insurance,Angela Tungaraza (kulia).Katikati ni Mwenyekiti Mwanzilishi wa
Bonnah Education Trust Fund, Bonnah Kaluwa.
Mgeni Rasmi katika
hafla hiyo,Ndg. Ramadhan Madabida akipokea mfano wa hundi ya Sh. Mil.
9.8 kutoka kwa Meneja Uajiri wa Kampuni ya Aramex Tanzania,Jane Stella
Njagi (kulia).Katikati ni Mwenyekiti Mwanzilishi wa Bonnah Education
Trust Fund,Bonnah Kaluwa.
Mgeni Rasmi katika hafla hiyo,Ndg. Ramadhan Madabida akiendelea kutoa hotuba yake.
Meza Kuu.
Mshehereshaji katika hafla hiyo,alikuwa si mwingine bali Mdau Ephrahim Kibonde.
Baadhi
ya wageni waliohudhulia hafla ya ya Chakula cha jioni cha kuchangia
Mfuko wa Bonnah Education Trust Fund wakifatilia kwa makini harambee
hiyo,iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar
es Salaam.
No comments:
Post a Comment