Ni kwanini usitengeneze mazingira ya kumuamini mkeo ili naye aweze kukuamini?Na kwanini msiaminiane?Kama mkeo anafanya hivyo kwa maana ya kutoka nje ya ndoa,jiulize kwanini fuatilia kwa karibu lazima kutakuwa na sababu ambazo unaweza kuangalia namna gani unaweza kutatua kilichopo mbele yenu,na kama si hivyo basi hutakuwa na sababu ya kuendelea kujipa presha kila kukicha unataka ufuatilie kuwa anafanya jambo gani wakati wote hata akiingia chooni pia huamini unalazimika kujijengea hofu kubwa isiyokuwa na maana.....Utakuwa na sababu gani ya msingi kumuwekea walinzi kila anakopita,akitema na kumeza mate walinzi waje wakuambie, akisalimiana na mtu tu ndio usiseme anakuwa tayari amezini....PRESHA YA NINI BWANA KAMA MKEO ATAKUWA NA MWANAUME MWINGINE UJUE KAPATIKANA MTU WA KUKUSAIDIA HUDUMA KWAHIYO KAA KIMYA ULE MATUNDA YA UHURU TENA IKIBIDI MWAMBIE MKEO AZIDI KUMCHUNA HUYO BWEGE KWANI KAMA YUKO VIZURI ITASAIDIA KUINUKA KIUCHUMI.
No comments:
Post a Comment